Mechi baina ya waheshimiwa Wabunge mashabiki wa Yanga na Simba ilionekana kuwa kivutio kikubwa baada ya wabunge wa Yanga kuwalowesha Simba jumla ya mabao 3 – 2, kama hiyo haitoshi mpambano wa masumbwi uliowakutanisha mastaa wa filamu, JB na Cloud ambapo mpaka mwisho wa mpambano JB AKA Bonge la bwana aliweza kuibuka mbabe wakati kwa upande Mada Maugo alifanikiwa kumchapa mpinzani wake Thomas kwa Knok Out.
TIMU ZIKIIMBA WIMBO WA TAIFA |
MTANANGE UKIENDELEA HUKU MH.M. NCHEMBA AKIONYESHA KANDANDA SAFI KWA UPANDE WA WABUNGE WA YANGA |
MH. NCHEMA AKISHANGILIA USHINDI |
MH. NCHEMA AKIFANYA VITU VYAKE UWANJA WA TAIFA |
MH. RIDHIWANI KIKWETE AKIFANYIWA FAULU MBAYA NA MCHEZAJI WA WABUNGE WA TIMBA |
MH. RIDHIWANI KIKWETE A.K.A INIESTA AKIONYESHA UFUNDI |
ILIKUA NI VUTA NIKUVUTE |
MFUNGAJI WA BAO LA WABUNGE WA YANGA MH. IDRISA KITWANA AKISHANGILIA BAO |
WABUNGE WA YANGA WAKISHANGILIA MARA BAADA YA KUWAFUNGA WABUNGE WA SIMBA |
MASHABIKI WAKISHANGILIA TIMU ZAO |
KIKOSI CHA WABUNGE WA YANGA |
KIKOSI CHA WABUNGE WA SIMBA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni