Mke
wa Rais Mama salma Kikwete, akimpongeza mwanae, Ridhiwani Kikwete, kwa
kumpa shada la maua baada ya kutunukiwa Cheti cha kuwa Wakili wa
kujitegemea, wakati wa hafla ya kuwatunuku mawakili 128, iliyofanyika
kwenye viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni