Jumamosi, 9 Agosti 2014

MARAIS NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Afrika Mashariki, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi,  wakati wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini Washington DC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni