Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa
Habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo
Lumumba,ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo
Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM
katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni