Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa
mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai 20, 2014, kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye
ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Julai
20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni