Mbunge
wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika
kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha
mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo,
utekelezaji wa ilani, maandalizi ya uchaguzi wa serikali za vijiji na
mitaa, bunge la katiba na mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na
wilaya zetu.
Pia kuwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele muhimu
vinavyojadiliwa ndani ya katiba.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiendelea kutema cheche katika mkutano huo.
Umati
wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo ukiwasikiliza wabunge
mbalimbali wa Bunge la Jamhuri ya muungano ya Tanzania waliokuwa
wanahutubia katika mkutano huo.
Mbumge wa ji,bo la Sikonge Mh. Said Mkumba akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
Wananchi wakisikiliza kwa makini Mbunge wa Chalnze Ridhiwani Kikwete alipokuwa akiwahutubia
Mbunge
wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiwahutubia wananchi wa
jimbo lake katika kijiji cha Iringa Mvumi mkoani Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera ,
Asumpta Mshana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kijiji cha Iringa jimbo la Mtera jana nyuma ni mbunge wa
jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde
Baadhi ya wananchi wakiwa wamekaa kwenye mapaa y nyumba huku wakifuatilia kutano huo.
Umati wa wananchi aliohudhuria katika mkutano huo.
Mbunge
wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiwahutubia wananchi wa
jimbo lake katika kijiji cha Iringa Mvumi mkoani Dodoma.
Mbunge
wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akipanda jukwaani kuwahutubia
wananchi wa jimbo lake katika kijiji cha Iringa Mvumi mkoani Dodoma
baada ya mbunge wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete kuwahutubia.
Mbunge
wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiendelea kutema cheche
mbele ya wananchi wa jimbo lake katika kijiji cha Iringa Mvumi mkoani
Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni