Mbunge
mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na
mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa
kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa mbunge wao uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6
Mke
wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia
mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kayta ya
Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana
Mbunge
mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa
Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika
juzi jimboni humo
PICHA NA FULL SHANGWE BLOG
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni