Jumatano, 6 Agosti 2014

MTOTO WA MH. RIDHIWANI KIKWETE AKIPIGA KURA


 
 Aziza mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia Baba yake kuweka kura kwenye sanduku la kura ,Ridhiwani alipigia kura yake kwenye kata ya Bwilingu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni