KIKWETE:TUNAKWAMISHWA NA UZALISHAJI NA MATUMIZI MADOGO MNO YA UMEME
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya
uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani
Agosti 6, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa
kimataifa Mhe Bernard Membe na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.
Librerata Mulamula kwenye Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika
jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani Agosti 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa
Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika
jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Obama wa Marekani Agosti 6, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Kamisheni
ya Umoja wa Afrika (AU), Mhe. Dkt. Nkosazana Dlamini-Zum wakimsikiliza
Rais Barak Obama wa Marekani wakati akiongoza Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika
uliofanyika jijini Washington DC Agosti 6, 2014
Viongozi
wa Afrika wakisalimiana kwa furaha baada ya kupata picha ya pamoja wakati wa Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini
ya uenyekiti wa Rais Obama wa Marekani
Agosti 6, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wa Afrika wakipata picha ya
kumbukumbu na mwenyeji wao Rais Barak Obama wa Marekani wakati wa Mkutano wa
Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini
ya uenyekiti wa Rais Obama wa Marekani
Agosti 6, 2014
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni