Jumamosi, 16 Agosti 2014

MJANE WA ALIYEKUWA RAIS WA ZANZIBAR MAREHEMU ABDULWAKILI AFARIKI DUNIA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo, Ijumaa, Agosti 15, 2014
 Wananchi na Waislamu wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa  wilaya ya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia ugongo katika kaburi la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni