Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikweteakimtwisha Maji Mama mwenye asili ya Kimasai mara baada ya Uzinduzi wa Maji. |
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza wananchi. |
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizindua mradi wa maji kwenye Kijiji cha Mbala hapa anaonekana akifungua maji kwa ajili ya kunyweshea mifugo. |
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza wananchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni